Stephen Dami Mamza
Stephen Dami Mamza (alizaliwa Bazza, Adamawa, 30 Novemba 1969) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Nigeria.
Mamza alipewa daraja ya upadre tarehe 13 Aprili 1996. Tarehe 18 Februari 2011, aliteuliwa kuwa askofu wa Jimbo la Yola, na aliorodheshwa kuwa askofu tarehe 7 Aprili 2011.[1]
Marejeo
- ↑ "Bishop Stephen Dami Mamza". Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 11 Desemba 2016.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |