Still I Rise ni albamu ya 2Pac na kundi lake la The Outlawz ukiondoa mwanachama Hussein Fatal. Fatal ameondoka kundini kwa sababu Outlawz wengine wameingia mkataba na Death Row baada ya Tupac kusema siyo lazima kuingia mkataba na Amaru Records; Napoleon baadaye alifuata. Albamu ina maujanja ambayo awali hayakutolewa na nyimbo nyingine kali za 2Pac. Ilitolewa mnamo tar. 21 Desemba1999, na Interscope Records, chini ya studio ya Death Row. Albamu ilitunukiwa platinamu mara mbili na RIAA kwa kuuza nakala milioni 2.5.
Young Noble·E.D.I.·Hussein Fatal Tupac Shakur· Yaki Kadafi · Big Syke · Mopreme Shakur · Napoleon · Kastro
Albums
Still I Rise·Ride wit Us or Collide wit Us·Novakane·Neva Surrenda·Outlaw 4 Life: 2005 A.P.·We Want In: The Street LP·Killuminati 2K10·Killuminati 2K11·Perfect Timing
Collaboration albums
Street Warz·Can't Sell Dope Forever·Thug Brothers·Soldier 2 Soldier·Ghetto Monopoly·All Eyez on Us·Doin' It Big
Related albums
Thug Law: Chapter 1·Blood Brothers·Noble Justice·Against All Oddz·Thug in Thug Out·The Stash Spot·Noble Justice: The Lost Songs
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Still I Rise kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.