Taylor Mitchell

Taylor Josephine Stephanie Luciow (amezaliwa 27 Agosti, 1990 – amefariki 27 Oktoba, 2009), alijulikana kwa jina lake la jukwaa Taylor Mitchell, alikuwa mwimbaji na mtunzi wa nyimbo na muziki wa country, folk kutoka Toronto, Kanada.[1] [2]


Marejeo

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taylor Mitchell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.