Telangana

Picha mbalimbali.

Telangana ni jimbo la 29 la jamhuri ya India, likiwa limeundwa rasmi tarehe 2 Juni 2014 kwa kutengana na Andhra Pradesh.

Kwa sasa ni la 12 kwa eneo na kwa idadi ya watu: kilometa mraba 114,840 na wakazi 35,193,978 (sensa ya mwaka 2011).

Makao makuu ni Hyderabad.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: