The Best of Michael Jackson
The Best of Michael Jackson | |||||
---|---|---|---|---|---|
Greatest hits ya Michael Jackson | |||||
Imetolewa | 1975 | ||||
Imerekodiwa | 1971–1974 | ||||
Aina | Soul | ||||
Lebo | Motown | ||||
Mtayarishaji | Berry Gordy, Hal Davis, Mel Larson, Jerry Marcellino, The Corporation, Brian Holland, Sam Brown na Bob Gaudio | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Michael Jackson | |||||
|
The Best of Michael Jackson ni kompilesheni ya vibao vikali vya mwanamuziki Michael Jackson na ilitolewa mnamo mwaka wa 1975 na studio aliokuwa akifanyanayo kazi hapo zamani, Motown. Imeuza nakala milioni 2.2 kwa hesabu ya dunia nzima na kushika nafasi ya arobaini-nne nchini Marekani hasa kwenye chati za R&B.
Orodha ya Nyimbo
- "Got to Be There"
- "Ben"
- "With a Child's Heart"
- "Happy" (kutoka katika Lady Sings the Blues)
- "One Day in Your Life"
- "I Wanna Be Where You Are"
- "Rockin' Robin"
- "We're Almost There"
- "Morning Glow"
- "Music and Me"
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu The Best of Michael Jackson kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |