Cory Rooney (also executive), Troy Oliver, Dan Shea, Poke & Tone, Davy Deluge, Ron G, Dave McPherson, Rich Shelton, Kevin Veney, Loren Hill, Reggie Hamlet, Bernard "Focus..." Edwards, Jr.
Single za kutoka katika albamu ya This Is Me... Then
"Jenny from the Block"
"All I Have"
"I'm Glad"
"Baby I Love U!"
This Is Me... Then ni albamu ya tatu kutoka kwa mwimbaji Jennifer Lopez, iliyotolewa mnamo Novemba 2002. Albamu hii ilikuwa namba sita kwenye chati ya Billboard 200 na iliuza zaidi ya nakala 314,000 kwenye wiki yake ya kwanza.[1] Ilibaki kwenye top 20 kwa muda ya wiki 12 na kwenye chati kwa muda ya wiki 37. Imeuza zaidi ya nakala milioni 2.5 nchini Marekani[2] na zaidi ya nakala milioni sita kote duniani.[3]
Albamu hii ilitoa singles nne: "Jenny from the Block", "All I Have", "I'm Glad" and "Baby I Love U!".
Nyimbo zake
#
Jina
Mtunzi (wa)
Producer(s)
Urefu
1.
"Still"
Casey James, Leroy Bell, Loren Hill, Rich Shelton, Kevin Veney, Leonard Huggins
Cory Rooney, Loren Hill, Rich Shelton, Kevin Veney
3:40
2.
"Loving You"
Rooney, Michael Garvin, Troy Oliver, James Mtume, Tom C. Shapiro
↑"IFPI Finland – Jennifer Lopez". IFPI (kwa Finnish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-20. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.{cite web}: CS1 maint: unrecognized language (link)
↑"Parcours Album". Fan Of Music (kwa French). Iliwekwa mnamo 2009-04-18.{cite web}: CS1 maint: unrecognized language (link)
↑"Gold/Platin-Datenbank". Bundesverband Musikindustrie (kwa German). Iliwekwa mnamo 2008-04-18.{cite web}: CS1 maint: unrecognized language (link)
↑"MAHASZ – Adatbázis – 2003". Mahasz (kwa Hungarian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-27. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.{cite web}: CS1 maint: unrecognized language (link)
↑"IFPI Sweden – Guld & Platina – År 2003"(PDF). IFPI (kwa Swedish). 15 Januari 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo(PDF) mnamo 2016-01-01. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.{cite web}: CS1 maint: unrecognized language (link)