Timotheo II wa Aleksandria
Timotheo II wa Aleksandria (alifariki 31 Julai 477) kuanzia mwaka 457 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 26 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
Viungo vya nje
- Meyendorff, John (1989). Imperial unity and Christian divisions: The Church 450-680 A.D. The Church in history. Juz. la 2. Crestwood, NY: St. Vladimir's Seminary Press.
{cite book}
: Invalid|ref=harv
(help) - "Timotheos II, Ailuros (457–460)". Official web site of the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria and All Africa. Iliwekwa mnamo 2011-02-07.
- http://st-takla.org/Saints/Coptic-Synaxarium-Orthodox-Saints-Biography-00-Coptic-Orthodox-Popes/Life-of-Coptic-Pope-026-Pope-Timothy-II_.html
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |