Tivoli Stadion Tirol

Tivoli Stadion Tirol ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Innsbruck nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Wacker Tirol na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 17,400.[1]

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Tivoli Stadion Tirol kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.