Tobago
Tobago ni kisiwa cha Karibi kinachounda na Trinidad na visiwa vingine vidogo nchi huru ya Trinidad na Tobago.
Eneo lake ni la Km² 300, na linakaliwa na watu 60,874, wengi wakiwa na asili ya Afrika.
Viungo vya nje
Tobago travel guide kutoka Wikisafiri
- Tobago Hotel & Tourism Association
- Tobago House of Assembly
- Tobago at worldstatesmen.org.