Tragelaphus
Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia hapa Tandala (Makete)
Tandala
Dume la tandala mkubwa(Tragelaphus strepsiceros )
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:
Animalia (Wanyama)
Faila:
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:
Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda:
Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda:
Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia:
Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe ) J. E. Gray , 1821
Jenasi:
Tragelaphus (Nyala , pongo na tandala ) de Blainville, 1816
Ngazi za chini
Spishi 8:
T. angasii Angas, 1849
T. buxtoni (Lydekker, 1910)
T. eurycerus (Ogilby, 1837)
T. e. eurycerus (Ogilby, 1837)
T. e. isaaci (Thomas, 1902)
T. imberbis (Blyth, 1869)
T. scriptus (Pallas, 1766)
T. spekii (Speke, 1863)
T. s. gratus (Sclater, 1880)
T. s. selousi (Rothschild, 1898)
T. s. spekii (Speke, 1863)
T. strepsiceros (Pallas, 1766)
T. s. chora (Cretzschmar, 1826)
T. s. cottoni (Dollman & Burlace, 1928)
T. s. strepsiceros (Pallas, 1766)
T. sylvaticus (Sparrman, 1780)
Tragelaphus ni jenasi ya wanyama katika familia Bovidae. Spishi za Tragelaphus huitwa tandala , bongo , kulungu , malu , nyala au nzohe .
Wanatokea Afrika katika maeneo yenye miti kutoka nyika hadi msitu .
Wana milia na madoa meupe juu ya rangi ya kahawa au kijivu. Dume ni mkubwa kuliko jike na ana pembe ndefu zilizopotolewa. Jike hana pembe.
Wanyama hao hula majani , manyasi , matunda na viazi vya gugu.
Spishi
Tragelaphus angasii , Nyala (Nyala )
Tragelaphus buxtoni , Tandala-milima (Mountain Nyala )
Tragelaphus eurycerus , Bongo (Bongo )
Tragelaphus e. eurycerus , Bongo Magharibi (Western bongo or lowland bongo)
Tragelaphus e. isaaci , Bongo Mashariki au Bongo-milima (Eastern Bongo or mountain bongo)
Tragelaphus imberbis , Tandala Mdogo (Lesser Kudu )
Tragelaphus scriptus , Pongo Kaskazi (Northern bushbuck )
Tragelaphus spekii , Nyala-maji au Nzohe (Sitatunga )
Tragelaphus strepsiceros , Tandala Mkubwa au Malu (Greater Kudu )
Tragelaphus s. chora , Tandala Mkubwa Kusi (Greater Kudu )
Tragelaphus s. cottoni , Tandala Mkubwa wa Chadi (Greater Kudu )
Tragelaphus s. strepsiceros , Tandala Mkubwa Kaskazi (Greater Kudu )
Tragelaphus sylvaticus , Kulungu, Mbawala au Pongo Kusi (Southern bushbuck )
Picha
Dume la nyala
Jike la nyala
Dume la bongo
Dume la tandala mdogo
Jike la tandala mdogo
Dume la nzohe
Jike la nzohe
Jike la tandala mkubwa
Kulungu
Mbawala
Spishi za Artiodactyla zilizo hai hadi sasa
Nusuoda Ruminantia
Antilocapridae Antilocapra Pronghorn (A. americana)
Giraffidae Okapia Giraffa Twiga kaskazi (G. camelopardalis) · Twiga kusi (G. giraffa) · Twiga Somali (G. reticulata) · Twiga Masai (G. tippelskirchi)
Moschidae Moschus Himalayan Musk Deer (M. chrysogaster) · Siberian Musk Deer (M. moschiferus) · Dwarf Musk Deer (M. berezovskii) · Black Musk Deer (M. fuscus)
Tragulidae Hyemoschus Water Chevrotain (H. aquaticus)
Moschiola Indian Spotted Chevrotain (M. indica) · Yellow-striped Chevrotain (M. kathygre) · Sri Lankan Spotted Chevrotain (M. meminna)
Tragulus Java Mouse-deer (T. javanicus) · Lesser Mouse-deer (T. kanchil) · Greater Mouse-deer (T. napu) · Philippine Mouse-deer (T. nigricans) · Vietnam Mouse-deer (T. versicolor) · Williamson's Mouse-deer (T. williamsoni)
Cervidae Familia hii kubwa iorodheshwa chini
Bovidae Familia hii kubwa iorodheshwa chini
Cervinae Muntiacus Indian Muntjac (M. muntjak) · Reeves's Muntjac (M. reevesi) · Hairy-fronted Muntjac (M. crinifrons) · Fea's Muntjac (M. feae) · Bornean Yellow Muntjac (M. atherodes) · Roosevelt's muntjac (M. rooseveltorum) · Gongshan muntjac (M. gongshanensis) · Giant Muntjac (M. vuquangensis) · Truong Son Muntjac (M. truongsonensis) · Leaf muntjac (M. putaoensis)
Elaphodus Tufted deer (E. cephalophus)
Dama Fallow Deer (D. dama) · Persian fallow deer (D. mesopotamica)
Axis Chital (A. axis)
Rucervus Barasingha (R. duvaucelii)
Panolia Eld's Deer (P. eldii)
Elaphurus Père David's deer (E. davidianus)
Hyelaphus Hog deer (H. porcinus) · Calamian deer (H. calamianensis) · Bawean deer (H. kuhlii)
Rusa Sambar deer (R. unicolor) · Rusa deer (R. timorensis) · Philippine sambar (R. mariannus) · Philippine spotted deer (R. alfredi)
Cervus
Capreolinae Alces Hydropotes Water deer (H. inermis)
Capreolus Roe Deer (C. capreolus) · Siberian Roe Deer (C. pygargus)
Rangifer Hippocamelus Taruca (H. antisensis) · South Andean Deer (H. bisulcus)
Mazama Red Brocket (M. americana) · Small Red Brocket (M. bororo) · Merida Brocket (M. bricenii) · Dwarf Brocket (M. chunyi) · Gray Brocket (M. gouazoubira) · Pygmy Brocket (M. nana) · Amazonian Brown Brocket (M. nemorivaga) · Yucatan Brown Brocket (M. pandora) · Little Red Brocket (M. rufina) · Central American Red Brocket (M. temama)
Ozotoceros Pampas deer (O. bezoarticus)
Blastocerus Marsh Deer (B. dichotomus)
Pudu Northern Pudu (P. mephistophiles) · Pudú (P. pudu)
Odocoileus White-tailed deer (O. virginianus) · Mule deer (O. hemionus)
Ammotragus Kondoo wa Barbari (A. lervia)
Arabitragus Mbuzi Arabu (A. jayakari)
Budorcas Kondoo wa Himalaya (B. taxicolor)
Capra Mbuzi-mwitu (C. aegagrus) · West Caucasian Tur (C. caucasia) · East Caucasian Tur (C. cylindricornis) · Markhor (C. falconeri) · Alpine Ibex (C. ibex) · Mbuzi-milima Nubi (C. nubiana) · Spanish Ibex (C. pyrenaica) · Siberian Ibex (C. sibirica) · Mbuzi-milima Habeshi (C. walie)
Capricornis Japanese serow (C. crispus) · Taiwan serow (C. swinhoei) · Sumatran serow (C. sumatraensis) · Mainland serow (C. milneedwardsii) · Red serow (C. rubidusi) · Himalayan serow (C. thar)
Hemitragus Mbuzi wa Himalaya (H. jemlahicus)
Naemorhedus Red Goral (N. baileyi) · Long-tailed Goral (N. caudatus) · Himalayan Goral (N. goral) · Chinese Goral (N. griseus)
Nilgiritragus Nilgiri Tahr (N. hylocrius)
Oreamnos Mountain goat (O. americanus)
Ovibos Ovis Argali (O. ammon)
· Kondoo-kaya (O. aries ) · Bighorn Sheep (O. canadensis)
· Dall Sheep (O. dalli)
· Mouflon (O. musimon)
· Snow sheep (O. nivicola)
· Urial (O. orientalis)
Pseudois Bharal (P. nayaur) · Dwarf Blue Sheep (P. schaeferi)
Rupicapra Pyrenean Chamois (R. pyrenaica) · Chamois (R. rupicapra)
Familia Bovidae (nusufamilia Bovinae )
Boselaphini Bovini Strepsicerotini
Antilopini Ammodorcas Swala dibatag (A. clarkei)
Antidorcas Antilope Swala mweusi (A. cervicapra)
Eudorcas Swala paji-jekundu (E. rufifrons) · Swala tomi (E. thomsonii)
Gazella Swala wa Cuvier (G. cuvieri) · Swala-jangwa (G. dorcas) · Swala mhindi (G. bennettii) · Swala-milima (G. gazella) · · Swala mwajemi (G. subgutturosa)Swala wa Neumann (G. erlangeri) · Swala wa Sahara (G. leptoceros) · Swala wa Saudia (G. saudiya) · Swala wa Speke (G. spekei)
Nanger Swala dama (G. dama) · Swala wa Grant (G. granti) · Swala wa Soemmerring (G. soemmerringii) ·
Litocranius Swala twiga (L. walleri)
Procapra Swala wa Mongolia (P. gutturosa) · Swala goa (P. picticaudata) · Swala wa Przewalski (P. przewalskii)
Saigini Saiga Swala saiga (S. tatarica)
Neotragini Dorcatragus Beira (D. megalotis)
Madoqua Digidigi fedha (M. piacentinii) · Digidigi wa Günther (M. guentheri) · Digidigi wa Kirk (M. kirkii) · Digidigi wa Salt (M. saltiana)
Neotragus Suni wa Bates (N. batesi) · Suni mashariki (N. moschatus) · Suni mdogo (N. pygmaeus)
Oreotragus Ourebia Raphicerus Dondoo kusi (R. melanotis) · Dondoo-nyika (R. campestris) · Dondoo wa Sharpe (R. sharpei)
Nusuoda Suina
Suidae Babyrousa Buru Babirusa (B. babyrussa) · North Sulawesi Babirusa (B. celebensis) · Togian Babirusa (B. togeanensis)
Hylochoerus Phacochoerus Ngiri-jangwa (P. aethiopicus) · Ngiri wa kawaida (P. africanus)
Porcula Pygmy Hog (P. salvania)
Potamochoerus Nguruwe-mwitu (P. larvatus) · Nguruwe mwekundu (P. porcus)
Sus Palawan Bearded Pig (S. ahoenobarbus) · Bearded Pig (S. barbatus) · Indo-chinese Warty Pig (S. bucculentus) · Visayan Warty Pig (S. cebifrons) · Celebes Warty Pig (S. celebensis) · Flores Warty Pig (S. heureni) · Oliver's Warty Pig (S. oliveri) · Philippine Warty Pig (S. philippensis) · Nguruwe-mwitu wa Ulaya (S. scrofa) · Timor Warty Pig (S. timoriensis) · Javan Pig (S. verrucosus)
Tayassuidae Tayassu White-lipped Peccary (T. pecari)
Catagonus Chacoan Peccary (C. wagneri)
Pecari Collared Peccary (P. tajacu) · Giant Peccary (P. maximus)
Cetartiodactyla (Divisheni bila tabaka, juu ya Artiodactyla)
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc .
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu Tragelaphus kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .
The article is a derivative under the Creative Commons Attribution-ShareAlike License .
A link to the original article can be found here and attribution parties here
By using this site, you agree to the Terms of Use . Gpedia ® is a registered trademark of the Cyberajah Pty Ltd