Triple H

Triple H.

Paul Michael Levesque (alizaliwa 27 Julai 1969) ni mwanamiereka kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana zaidi kwa jina la pete, kitambulisho cha jina lake la kale la Hunter Hearskinot Helmsley.

Kwa sasa Triple H ni COO ("Afisa Mkuu wa Uendeshaji") wa WWE.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Triple H kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.