Ugonjwa wa corona Kenya 2020

Virusi vya Covid-19

Ugonjwa wa Corona ulifika Kenya mwezi Machi 2020. Watu wa kwanza waligunduliwa kwenye kaunti za Nairobi na Kajiado.

Shauri kutoka Wizara wa Afya ya Kenya[1]

Wizara wa Afya ya Kenya imeandika habari ya virusii ya Corona.

  1. Ugonjwa wa virusii ya corona ni mgonjwa mpya inaenezwa mbiombio
  2. Virusii ya corona inapatikana kutoka tone la mtu ana kikohozi, au kutoka vitu vimenajisi
  3. Dalili ya virusii ya corona ni homa, kikohozi, kuumwa kichwa, kuumwa mwili na kupumwa na shida
  4. Kuzuia ugonjwa wa virusii ya corona
    1. Safisha mikono na sabuni na maji, au na usafisho ina ugimbi
    2. Kaa mbali na mtu mwenye dalili ya mafua
    3. Usi peana mkono, usihike, na usinonea mtu ana dalili ya mafua
    4. Usitoke nyumbani na usisafiri ukiwa na dalili ya mafua
  5. Virusii ikidundua mapema, na mtu akipata matibabu mapema ana nafasi kubwa wa kupona
  6. Virusii mpya ya corona haiwezi kupatikana kutoka hewa

Ushauri huu inafanana ushauri wa Shirika za Afya Duniani (WHO)[2]. Kusoma tafsiri ya ushauri wa tabia nzuri wa Shirika za Afya Duniani kwa Kiswahili angalia ukurasa wa ushauri wa ugonjwa wa Corona ya Shirika la Afya Duniani.

Marejeo

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-31. Iliwekwa mnamo 2020-03-31.
  2. https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019/advice-for-public

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu "Ugonjwa wa corona Kenya 2020" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.