Utenzi wa Tambuka

Utenzi wa Tambuka, ulioandikwa kwa herufi za Kiarabu, mistari ya kwanza.

Utenzi wa Tambuka ni utenzi ulioandikwa na Bwana Mwengo wa Athman mwaka 1728. Unasimulia historia ya vita mbalimbali kati ya Waislamu na Waroma kutoka 628 hadi 1453.

Jina la utenzi lahusu mji wa Tambuka (Kiarabu: تَبُوْك Tabūk) nchini Saudia.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utenzi wa Tambuka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.