Uwanja wa Michezo wa 4 Machi 1956

Uwanja wa Michezo wa 4 Machi 1956 ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1992 kwenye mji wa Tébessa nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya US Tébessa na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 17,250.[1]

Marejeo

  1. "Coup d'envoi des travaux de réalisation du nouveau complexe sportif à Béchar". Radio Algérie. 8 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2024.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa 4 Machi 1956 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.