Uwanja wa Michezo wa Mohamed Bensaïd
Uwanja wa Michezo wa Mohamed Bensaïd ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1990 kwenye mji wa Mostaganem nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya ES Mostaganem & WA Mostaganem na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 18,000.[1]
Marejeo
- ↑ "Coup d'envoi des travaux de réalisation du nouveau complexe sportif à Béchar". Radio Algérie. 8 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2024.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Mohamed Bensaïd kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |