Uwanja wa Michezo wa Oakes Oval

Uwanja wa Michezo wa Oakes Oval ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Lismore nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 8,500.[1]

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Oakes Oval kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.