Uwanja wa Michezo wa Okinawa City

Uwanja wa Michezo wa Okinawa City

Uwanja wa Michezo wa Okinawa City ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1973 kwenye mji wa Okinawa, Okinawa Kyushu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Ryukyu na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 13,400.[1]

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Okinawa City kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.