Uwanja wa Michezo wa Salyan
Uwanja wa Michezo wa Salyan ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2007 kwenye mji wa Salyan nchini Azerbaijan. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Mughan na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 2,000. [1]
Marejeo
- ↑ "World Stadiums - Stadiums in Azerbaijan". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-16. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.
{cite web}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Salyan kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |