Uwanja wa Toyota (Texas)
Uwanja wa Toyota (Texas) ni uwanja wa mpira wa miguu ulio Frisco, Texas, wenye viti 20,500. Umejengwa kwa msaada wa jiji la Frisco na hutumiwa na klabu ya FC Dallas. Uwanja huu pia hutoa mashindano ya NCAA Division I Football Championship na Frisco Bowl, na ni nyumbani kwa National Soccer Hall of Fame[1].
Tanbihii
- ↑ Baum, Carter (Machi 9, 2018). "Generation adidas Cup Returns to Toyota Soccer Center in Frisco on March 23". FC Dallas. Iliwekwa mnamo Juni 21, 2018.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Toyota (Texas) kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |