Uwanja wa Ndege wa Tan Son Nhat
Tan Son Nhat International Airport Sân bay Quốc tế Tân Sơn Nhất | |||
---|---|---|---|
IATA: SGN – ICAO: VVTS | |||
Muhtasari | |||
Aina | Public | ||
Mmiliki | Vietnamese government | ||
Opareta | Southern Airports Corporation | ||
Serves | Mji wa Ho Chi Minh , Vietnam | ||
Kitovu cha | Indochina Airlines Jetstar Pacific Airlines Vietnam Airlines | ||
Mwinuko Juu ya UB |
10 m / 33 ft | ||
Anwani ya kijiografia | 10°49′08″N 106°39′07″E / 10.81889°N 106.65194°E | ||
Tovuti | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
07L/25R | 3,048 | 10,000 | Concrete |
07R/25L | 3,800 | 12,468 | Concrete |
Takwimu (2008) | |||
Passenger movements | 12.427.808 [1] | ||
Airfreight movements in tonnes | 444.223 [1] | ||
Aircraft movements | 98.002 [1] |
Uwanja wa Ndege wa Tan Son Nhat ni uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mji wa Ho Chi Minh nchini Vietnam. Ni kati ya nyanja za ndege kubwa ikiwa na abiria zaidi ya milioni 11 wanaopita.
Jina kamili kwa Kivietnam ni Sân bay quốc tế Tân Sơn Nhất au kwa Kiingereza Tan Son Nhat international Airport.
Ni kituo kikuu cha Vietnam Airlines.
Kiwanja cha ndege kipo kilomita 7 kusini kwa Saigon na safari kwa treni kutoka mjini ni dakika 20.