Wadi Howar
Wadi Howar (pia: Howa) ni korongo linalopatikana Chad na Sudan.
Kwa sasa maji yake yanaishia jangwani tu, lakini zamani lilikuwa linafikia hadi mto Nile likiwa tawimto lake kubwa zaidi na liliitwa Nile ya Njano.
Urefu wake ulikuwa kilomita 1,100.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/83/Map_of_Sudan_%28New%29.jpg/220px-Map_of_Sudan_%28New%29.jpg)
Tazama pia
- Orodha ya mito ya Chad
- Orodha ya mito ya Sudan
Tanbihi
Viungo vya nje
Kigezo:Mito ya Chad
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wadi Howar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |