Waruuli
Waruuli ni kabila la Kibantu linaloishi magharibi kwa ziwa Kyoga, Uganda (wilaya ya Nakasongola na Wilaya ya Masindi, lakini pia Wilaya ya Amolatar na Wilaya ya Luweero).
Wanakadiriwa kuwa watu 232,000 hivi.
Leo wengi wao ni Wakristo.
Tanbihi
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waruuli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |