Wikipedia ya Kihungaria

Wikipedia ya Kihungaria

Wikipedia ya Kihungaria (Kihungaria: Magyar Wikipédia) ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kihungaria/Magyar. Wikipedia hii, ilianzishwa mnamo tar. 8 Julai 2003. Wikipedia hii, imefikisha idadi ya makala zaidi ya 100,000 kunako tar. 17 Julai 2008.

Viungo vya nje

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kihungaria ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kihungaria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.