Yvonne De Carlo

Margaret Yvonne Middleton (amezaliwa 1 Septemba, 1922 - amefariki 8 Januari, 2007), aliyejulikana kitaaluma kama Yvonne De Carlo, alikuwa mwigizaji, mnenguaji, na mwimbaji wa Kanada - Marekani.[1]

Marejeo

  1. "Lamp Of Memory" (Video clip). Soundie. 1944. Iliwekwa mnamo Septemba 16, 2016.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link) "Prelinger Archive".
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yvonne De Carlo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.