17 Oktoba
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Oktoba ni siku ya 290 ya mwaka (ya 291 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 75.
Matukio
- 1404 - Uchaguzi wa Papa Innocent VII
- 2007 - John Njue, Askofu Mkuu wa Nairobi anateuliwa kuwa kadinali
Waliozaliwa
- 1780 - Richard M. Johnson, Kaimu Rais wa Marekani (1837-1841)
- 1912 - Papa Yohane Paulo I (kwa jina la Albino Luciani)
- 1915 - Arthur Miller, mwandishi kutoka Marekani
- 1946 - Graca Machel, mke wa Samora Machel halafu wa Nelson Mandela
- 1956 - Mae Jemison, mwanaanga kutoka Marekani
- 1972 - Eminem, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1972 - Wyclef Jean, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1977 - Andre Villas Boas, kocha wa mpira wa Ureno
- 1987 - Bea Alonzo, mwigizaji wa filamu kutoka Ufilipino
Waliofariki
- 456 - Avitus, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 1690 - Mtakatifu Margareta Maria Alacoque, bikira mmonaki kutoka Ufaransa
- 1849 - Frédéric Chopin, mtunzi wa muziki kutoka Poland
- 1934 - Santiago Ramón y Cajal, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1906
- 1983 - Raymond Aaron, mwanafalsafa wa Ufaransa
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Ignas wa Antiokia, Nabii Hosea, Rufo na Zosimo, Wafiadini wa Voli, Yohane wa Asyut, Dulsidi, Florensi wa Orange, Richadi Gwyn, Isidori Gagelin n.k.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |