30 Aprili

Mac - Aprili - Mei
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 30 Aprili ni siku ya 120 ya mwaka (ya 121 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 245.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Pius V, Sofia wa Fermo, Kwirino wa Roma, Eutropi wa Saintes, Diodori na Rodopiani, Donati wa Eurea, Laurenti wa Novara, Merkuriali, Pomponi wa Napoli, Aulo, Erkonvaldi, Amatori, Petro na Ludoviko, Gwalfadi, Ajuture, Maria wa Umwilisho Guyart, Yosefu Benedikto Cottolengo, Yosefu Tuan Van Tran n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 30 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.