5 Julai
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Julai ni siku ya 186 ya mwaka (ya 187 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 179.
Matukio
- 1962 - Nchi ya Algeria inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 1975 - Visiwa vya Cabo Verde vinapata uhuru kutoka Ureno
Waliozaliwa
- 1810 - P. T. Barnum, mfanyabiashara kutoka Marekani
- 1888 - Herbert Spencer Gasser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944
- 1891 - John Howard Northrop, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946
- 1968 - George Boniface Simbachawene, mwanasiasa wa Tanzania
- 1969 - RZA, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1981 - Ambwene Yessayah, mwanamuziki kutoka Tanzania
Waliofariki
- 967 - Murakami, mfalme mkuu wa Japani (946-967)
- 1539 - Mtakatifu Antonio Maria Zaccaria, padri mwanzilishi wa Wabarnaba
- 1927 - Albrecht Kossel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1910
- 1966 - Georg von Hevesy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1943
- 1969 - Tom Mboya, mwanasiasa wa Kenya, aliuawa
- 1991 - Howard Nemerov, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Antonio Maria Zaccaria, Stefano wa Nisea, Siprila wa Kurene, Atanasi wa Yerusalemu, Domesi Mganga, Marta wa Antiokia, Tomaso wa Terreti, Athanasi wa Mlima Athos, Theresia Chen Jinxie, Roza Chen Aixie n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- Today in Canadian History Archived 19 Novemba 2020 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |