Anthony Peter Khoraish

Anthony III Peter Khoraish (au Antonios Boutros Khoraish, Antoine Pierre Khreich, Khraish, Khoraiche, Kiarabu: أنطونيوس الثالث بطرس خريش; 20 Septemba 190719 Agosti 1994) alikuwa Patriarki wa 75 wa Wamaroni wa Antiochia na Mashariki yote ya Levanti kuanzia mwaka 1975 hadi alipojiuzulu mwaka 1986. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1983 na alifariki tarehe 19 Agosti 1994.[1]

Marejeo

Katika Ikulu ya White, 1981
  1. "Antoine Pierre Cardinal Khoraiche". Catholic-Hierarchy. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Januari 2007. Iliwekwa mnamo 2007-02-11.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.