Bangui
Jiji la Bangui | |
Nchi | Jamhuri ya Afrika ya Kati |
---|---|
Mkoa | Bangui Autonomous Commune |
Bangui ina wakazi 531 763[1] ni mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mji uko mwambanoni wa mto Ubangi ng'ambo ya mto uko mji wa Zongo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Kuna viwanda mjini vya nguo, vyakula, bira, viatu na sabuni. Bishara ya nje inalenga wateja wa pamba, ubao, kahawa na katani.
Marejeo
Viungo vya nje
- Tovuti rasmi ya Chuo Kikuu cha Bangui Ilihifadhiwa 16 Februari 2012 kwenye Wayback Machine. (Kifaransa)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bangui kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |