Belo Horizonte
Belo Horizonte | |||
| |||
Majiranukta: 19°55′09″S 43°56′19″W / 19.91917°S 43.93861°W | |||
Nchi | Brazil | ||
---|---|---|---|
Kanda | Southeast | ||
Jimbo | Minas Gerais | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 2,452,617 | ||
Tovuti: www.belohorizonte.mg.gov.br |
Belo Horizonte ni jina la mji mkuu wa jimbo la Minas Gerais katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 5.4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 852 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Belo Horizonte kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |