Chinhoyi

Chinhoyi ni mji wa Zimbabwe, makao makuu ya mkoa wa Mashonaland Magharibi.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa kuwa 91,000[1].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chinhoyi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.