David Archuleta

David Archuleta
David Archuleta mnamo Agosti 2010
David Archuleta mnamo Agosti 2010
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa David James Archuleta
Amezaliwa 28 Desemba 1990 (1990-12-28) (umri 34)[1]
Miami, Florida, Marekani
Asili yake Murray, Utah, Marekani
Aina ya muziki Pop, R&B
Kazi yake Mwimbaji,Mtunzi wa nyimbo, mwanafunzi
Ala Masauti, piano, kinanda, gitaa
Aina ya sauti Tenor[2][3]
Miaka ya kazi 2003–mpaka leo
Studio Jive[4]
Tovuti www.DavidArchuleta.com


David James Archuleta (amezaliwa tar. 28 Desemba 1990) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Akiwa na umri wa miaka kumi, amepata kushinda kwenye mashindano ya kutafuta watoto wenye vipaji vya Utah Talent Competition na kuongoza kuimba kwenye mionekano mingine ya vipindi vya televisiheni. Akiwa na umri wa miaka kumi na miwili, akapata kuwa Msindi Mdogo wa Kuimba kwenye Star Search 2.[5] Mnamo mwaka wa 2007, akiwa na umri wa miaka kumi na sita, amesailiwa na kuwa mmoja kati ya waliofika fainali akiwa bwana mdogo sana kwenyue msimu wa saba wa kumtafuta mkali wa American Idol. Mnamo mwezi wa Mei 2008 amemaliza akiwa kama mgombea, na kupokea asilimia 44 za kura zaidi ya milioni 97.

Mnamo mwezi wa Agosti 2008 Archuleta ametoa kibao chake kiitwacho "Crush", kibao cha kwanza kutoka kwenye albamu yake ya kwanza-yenye-jina-sawa-na-lake.[5][6][7][8] Albamu ilikuwa kutolewa miezi miwili baadaye, na kufika moja kwa moja nafasu ya pili kwenye chati za Billboard 200; na kwa mwezi wa Juni 2009, imeuza zaidi ya kopi 725,000 nchini Marekani na zaidi ya 900,000 kwa hesabu ya Dunia nzima.[9][10]

Wasifu

Maisha ya awali

Archuleta alizaliwa mjini Miami, Florida, na bwana Jeff Archuleta na Lupe Marie, mwimbaji na mnenguaji wa muziki wa chalanga. Anazungumza Kihispania.[11] Mama yake Archuleta anatokea Honduras, ilhali baba yake ana asili ya Kihispania, Kidemark, Kiayalandi, Kijerumani, na Iroquois.[12] Archuleta has four siblings.[13] Familia ya Archuleta ilihamia Salt Lake Valley, kwenye mji wa Sandy, Utah, wakati Archuleta akiwa na umri wa miaka sita. Yeye ni mwanachama wa Kanisa la Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku ya Mwisho (pia linajulikana kama kanisa la "Wamormoni").[14] Kwa sasa anaishi mjini Murray, Utah ambapo alimaliza elimu yake ya juu kwenye shule la Murray High School.[15] Archuleta ni mwanachama wa Boy Scouts of America.[16][17]

Archuleta started singing at age six, inspired by a Les Misérables video. "That musical is what started all of this", he said.[18] Aliaza kuimba mbele ya hadhara akiwa na umri wa miaka kumi kwenye Utah Talent Competition kwa kuimba wimbo wa "I Will Always Love You" wa Dolly Parton; alipokea makofi kutoka kwa watu wengi na kupelekea kushinda shindano hilo la watoto.

Archuleta alivutiwa sana kwa kuwatazama wasanii wawili ambao ni Tamyra Gray na Kelly Clarkson kwa kutazama nini wanachokifanya na kuanza kufanya kweli katika mashindano ya American Idol. Baadaye akaanza rasmi kuonekana kwenye televisheni kwa mara ya kwanza, akiwa na umri miaka kumi na moja, akiimba "And I Am Telling You I'm Not Going" kwenye kipindi cha The Jenny Jones Show kwa ajili nyota wa baadaye wa Latino pamoja na msimu wa kwanza wa American Idol alioibuka mshindi A.J. Gil.[19] Through A.J. Gil he was able to meet and sing for Gray who had sung the song on American Idol as well as Clarkson (that year's winner) and Justin Guarini (the runner up).[19][20]

Athira za kimuziki

American Idol

Diskografia

Makala kuu ya: Diskografia ya David Archuleta

Marejeo

  1. Archuleta, David (2003–2005). "The official website of David Archuleta". KidActors. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-06-03. Iliwekwa mnamo 2008-02-28.{cite web}: CS1 maint: date format (link)
  2. David Archuleta Main Ilihifadhiwa 8 Agosti 2012 kwenye Wayback Machine. | accessdate=2009-03-15.
  3. Archuleta in concert throws doubt on 'Idol' votes Ilihifadhiwa 22 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine. by MISHA DAVENPORT, Chicago Sun Times.
  4. "Archuleta signed with Jive". Jive. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-20. Iliwekwa mnamo 2008-10-30.
  5. 5.0 5.1 Edson, Aaron. "David Archuleta's album debuts". Meridian Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-26. Iliwekwa mnamo 2009-02-03.
  6. Cite warning: <ref> tag with name Z100 cannot be previewed because it is defined outside the current section or not defined at all.
  7. Rubin, Canaan (16 Septemba 2008). "Behind the Music with David Archuleta". Entertainment Tonight. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-19. Iliwekwa mnamo 2008-10-30.
  8. "American Idol News: David Archuleta's Debut Album". American Idol News. 18 Septemba 2008. Iliwekwa mnamo 2008-10-30. {cite web}: |first= missing |last= (help)
  9. Cohen, Jonathan. "Taylor Swift Soars To No. 1 Debut". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-23. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2008. (issue of 29 Novemba 2008).
  10. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-23. Iliwekwa mnamo 2009-10-19.
  11. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-24. Iliwekwa mnamo 2009-10-19.
  12. Archuleta, Jeff. Twitter update. 2009-05-25.
  13. Warburton, Nicole (18 Mei 2008). "Friends knew Archuleta had talent". Desert News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-08. Iliwekwa mnamo 2008-10-30.
  14. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-10-07. Iliwekwa mnamo 2009-10-19.
  15. "Murray High teen moving up on 'Idol'". Associated Press. Desert News. 2008-02-15. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-27. Iliwekwa mnamo 2008-10-30.
  16. Riddell, Brad (Novemba 2008). "Idol Thoughts". Boys' Life. Irving, TX: Boy Scouts of America: 30–31.
  17. "Boys Life Magazine". Boy Scouts of America. 2008. Iliwekwa mnamo 2008-11-06.
  18. "Introducing David Archuleta". American Idol. 18 Februari 2008. Iliwekwa mnamo 2008-03-06.
  19. 19.0 19.1 Bronson, Fred (6 Mei 2008). "Q & A: David Archuleta from American Idol". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-09. Iliwekwa mnamo 2008-08-14.
  20. Dinh, Mai (2009). "Celebrity Central: David Archuleta". People. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-03. Iliwekwa mnamo 2009-01-30. {cite web}: Unknown parameter |coauthors= ignored (|author= suggested) (help)

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Archuleta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.