Derbe

Derbe (kwa Kigiriki: Δέρβη, Derbe, pia Δέρβεια, Derbeia) ulikuwa mji wa Wagiriki wa Kale katika rasi ya Anatolia,[1] kusini-magharibi mwa Uturuki wa leo[2].

Kwa sasa ni maghofu tu yanayopatikana km 15 kaskazini-mashariki kwa Karaman[3][4].

Kuanzia mwaka 46 Mtume Paulo alifika mara kadhaa kuinjilisha huko (Mdo 14:6, 14:20, 16:1, 20:4).

Tanbihi

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Derbe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.