Karaman

Faili:Karaman Castle.jpg
Jumba la Maonyesho la Karaman ni moja kati sehemu mashuhuri sana katika mji huu.

Karaman (zamani uliitwa Larende) ni mji wa kusini ya kati huko nchini Uturuki. Mji upo kaskazini mwa Milima ya Taurus, takriban kilomita 100 kutoka mjini kusini mwa Konya. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Karaman. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadai ya wakazi wanaoishi hapa ilifikia kiwango cha 152,450 ambao wengine 105,834 wanaishi mjini kwa Karaman.[1][2] Wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 3,686.[3]

Marejeo

  1. Turkish Statistical Institute. "Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey" (kwa Turkish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (XLS) mnamo 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-03-20.{cite web}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. GeoHive. "Statistical information on Turkey's administrative units". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-03-20.
  3. Statoids. "Statistical information on districts of Turkey". Iliwekwa mnamo 2008-04-12.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Karaman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.