Googol
Googol ni namba kubwa 10100. Inaandikwa kama tarakimu 1 ikifuatiwa na sifuri mia moja: 10,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000.[1]
Marejeo
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Googol kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |