Historia ya São Tomé na Príncipe

Historia ya Sao Tome na Principe inahusu visiwa vya Bahari ya Atlantiki mkabala wa Afrika Magharibi ambavyo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Sao Tome na Principe.

Visiwa hivyo havikuwa na wakazi hadi vilipogunduliwa na Wareno katika karne ya 15.

Baadaye vilikuwa koloni la Ureno kuanzia karne ya 16 hadi 12 Julai 1975, vilipopata uhuru.

Nchi ilifuata siasa ya chama kimoja tangu uhuru hadi mwaka 1990. Katiba ya 1990 imeruhusu vyama vingi.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Sao Tome na Principe kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.