Iganga
Iganga | |
Mahali pa mji wa Iganga katika Uganda |
|
Majiranukta: 0°37′0″N 33°29′0″E / 0.61667°N 33.48333°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
Mkoa | Mashariki |
Wilaya | Iganga |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 48,200 |
Iganga ni mji mkuu wa Wilaya ya Iganga nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 48,200.
Sehemu
Iganga ipo eneo la ukanda mdogo wa Busoga.Upo takriban kilomita 40, kwa barabara ,kaskazini-mashariki mwa mji wa Jinja na majira-nukta ya eneo hilo ni: 0°36'54.0"N, 33°29'06.0"E (Latitudi:0.6150; Longitudi:33.4850).[1]
Maelezo
Vivutio vya mji huo ni pamoja na miradi ya 'DevelopNet', ambao ni sehemu ya kupatia mtandao na kutoa msaada kwa jamii kwa kuandaa majukwaa tafauti tafauti kupitia taasisi zisizo za kiserikali.Ni sehemu ambayo taasisi zisizo za kiserikali zimejikita zaidi ili kusaidia kwenye maswala ya elimu na maendeleo ya jamii kwa ujumla.Mji wa Igunga ina ofisi za kutoa mitandao kadhaa , nyumba za wageni na soko lililotazamana na eneo la kuegesha teksi.
Tazama pia
Viungo vya nje
Preview of references
- ↑ https://www.google.com/maps/dir/Jinja/Iganga/@0.5252874,33.1958066,11z/data=!3m1!4b1!4m14!4m13!1m5!1m1!1s0x177e7b862c391f47:0x300fe90f956a9f4a!2m2!1d33.2026122!2d0.4478566!1m5!1m1!1s0x177ef28a75729ee9:0x2a5b0f015719e99d!2m2!1d33.4719832!2d0.6045833!3e0 | title=Distance Between Jinja, Uganda And Iganga, Uganda