Mkoa wa Mashariki (Uganda)
Mkoa wa Mashariki (kwa Kiingereza: Eastern Region) ni kati ya mikoa minne ya Uganda.
Kwa sasa linaundwa na wilaya 32.
Makao makuu yako Jinja.
Wakazi ni 9,042,422.
Marejeo
Mada kuhusu Uganda | |
---|---|
Historia | |
Siasa | |
Jiografia (en) | Mikoa · Wilaya · Miji · Kampala · Gulu · Visiwa · Maziwa · Ziwa Viktoria · Ziwa Albert · Mito · Milima · Mlima Elgon · Volikano · |
Uchumi na miundombinu | Benki Kuu ya Uganda · Uganda Securities Exchange · Shilingi ya Uganda · Mawasiliano · Usafiri · Viwanja vya ndege · Entebbe Airport · Utalii · Wanyamapori · Usambazaji wa maji safi na maji taka |
Demografia (en) na jamii | |
Utamaduni (en) | |
Lango la Uganda |