Just Stand Up!

“Just Stand Up!”
“Just Stand Up!” cover
Single ya Artists Stand Up To Cancer
Imetolewa Agosti 21, 2008 (2008-08-21) (digital)
Septemba 30, 2008 (2008-09-30) (CD single)
Muundo Digital download, CD single
Imerekodiwa 2008
Aina Pop, R&B
Urefu 3:34
Mtunzi Babyface, Ronnie Walton

"Just Stand Up!" ni wimbo ulioimbwa na mjumuisho wa wasanii mbalimbali, wanaoimba miondoko ya pop, R&B, rok, na Katri katika tamasha la kukusanya fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa saratani.Mtayarishaji na mtunzi wa nyimbo wa Marekani L.A Reaid aliandaa ushirikiano huo wa wasanii baada ya kukutana na mwanzilishi wa tamasha la Pingana na Saratanai, na kuandaa tamasha litakalosaidia kuchangisha fedha kwa ajili ya kukuza mfuko huo. Waandaaji hawa waliandaa wimbo huu, kwa kushirikiana na waimbaji wa Kimarekani kama vile Bebyface na single hii ilitoka tarehe 21 Agasti 2008

Waimbaji hawa waliimba wimbo huu moja kwa moja ambayo ilirushwa hewani katika vyombo vya habari mbalimbali kama vile ABC, CBS na NBC tarehe 5 Septemba 2008.[1][2] Single hii ilitolewa tena tarehe 30 septemba 2008, na pia ilitoka na nakala ya tamasha la moja kwa moja. Lakini single hii haikuwa na video yake.

Waimbaji

Onesho la moja kwa moja

Onesho la moja kwa moja, lilikuwa katika tamasha la Stand Up 2 Cancer lililofanyika tarehe 5 Septemba 2008, lililooneshwa katika vyombo vya habari mbalimbali. Waimbaji wengi walionekana ambao walirekodi wimbo huu isipokuwa, LeAnn Rimes, Sheryl Crow na Melissa Etheridge, na wapo walioongezeka kama vile Nicole Scherzinger kutoka katika kundi la Pussycat Dolls aliyeimba nafasi ya Sheryl Crow.

Orodha ya nyimbo

  1. "Just Stand Up!"
  2. "Just Stand Up!" (Live Video)

Chati

Wimbo huu uliingia katika chati ya Billboard Hot 100 katika wiki ya 78, ya tarehe 13 septemba. Wiki iliyofuatia ilifanikiwa katika mauzo na kuvuka nafasi takribani 67 na kufika hadi nafasi 11. Wiki iliyofuatia wimbo huu ulianguka na kushuka hadi nafasi na 36. Wimbo huu pia ulishaingia katika chati ya Uingereza na kufanikiwa kushika nafasi 39, na baadae kupanda hadi nafasi 26. Katika chati ya nchini Canada wimbo huu ulifanikiwa kufika hadi nafasi ya 10 katika wiki ya septemba 11.

Chati

Chati (2008) Ilipata
nafasi
Australian ARIA Singles Chart[3] 39
Austria[4] 73
Canadian Hot 100[5] 10
Italian FIMI Singles Chart 7
Japan Hot 100 85
DSM Hot 25 Chart 1
DSM Hot Pop Chart 1
New Zealand RIANZ Singles Chart[6] 19
Swedish Singles Chart[7] 51
U.S. Billboard Hot 100[8] 11
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[9] 57
U.S. Billboard Pop 100[10] 18
UK Singles Chart 26

Wafanyakazi

  • Beyoncé Knowles kutoka katika studio za Columbia Records.
  • Mary J. Blige kutoka studio za Geffen Records.
  • Rihanna kutoka studio za Def Jam Recordings.
  • Fergie, Sheryl Crow kutoka A&M Records.
  • Mariah Carey, Melissa Etheridge kutoka Island Records.
  • Natasha Bedingfield kutoka Epic Records.
  • Miley Cyrus kutoka katika studio za Hollywood Records.
  • Leona Lewis kutoka katika studio za Sony BMG/Syco/J.
  • Carrie Underwood kutoka Arista Nashville.
  • Keyshia Cole kutoka Interscope-Geffen-A&M.
  • LeAnn Rimes kutoka katika Asylum-Curb.
  • Ashant kutoka Universal Records
  • Ciara kutoka katika studio za Zomba Label Group, Sony BMG.
  • Nicole Scherzinger kutoka studio za Polydor, A&M and Interscope (only on live version)

Marejeo

  1. Kaufman, Gil (2008-08-19). "Mariah Carey, Beyonce, Fergie, Miley Cyrus, More Collaborate On Cancer Benefit Single". MTV News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-24. Iliwekwa mnamo 2008-08-20.
  2. Jessen, Monique (2008-08-20). "Mariah Carey, Beyoncé Unite For Charity Record". People. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-05. Iliwekwa mnamo 2008-08-26.
  3. Just Stand Up! chart history - australian-charts.com. australian-charts.com. Retrieved on 28 Juni 2009.
  4. http://www.lescharts.com/showitem.asp?interpret=Stand+Up+To+Cancer&titel=Just+Stand+Up&cat=s
  5. Canadian Hot 100
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-15. Iliwekwa mnamo 2010-01-28.
  7. Swedish Singles chart
  8. Billboard Hot 100
  9. "Hot R&B/Hip-Hop Singles Sales". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-05. Iliwekwa mnamo 2008-12-05.
  10. "Billboard Pop 100". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-05. Iliwekwa mnamo 2008-12-05.

Viungo vya nje