Karne ya 15
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 13 |
Karne ya 14 |
Karne ya 15
| Karne ya 16
| Karne ya 17
| ►
Miaka ya 1400 |
Miaka ya 1410 |
Miaka ya 1420 |
Miaka ya 1430 |
Miaka ya 1440 |
Miaka ya 1450 |
Miaka ya 1460 |
Miaka ya 1470 |
Miaka ya 1480 |
Miaka ya 1490
Karne ya 15 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1401 hadi 1500. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1401 na kuishia 31 Desemba 1500. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi maendeleo na mabadiiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.
Watu na matukio
- Ulaya kutoka Karne za kati inaingia hali mpya kuanzia Italia
- Huko Amerika ustaarabu wa Waazteki (Meksiko) na wa Wainkas (Peru)
- Mwisho wa Vita vya miaka mia
- Mwisho wa Dola la Bizanti (1453); Waturuki wanaenea Ulaya mashariki kusini
- Wakristo wanamaliza kuteka tena Hispania kutoka utawala wa Uislamu 1492
- Kristoforo Kolumbus (Genova, 1451 - Valladolid, 1506), anafungua njia za baharini kati ya Ulaya na Amerika
- Leonardo wa Vinci, mwanasayansi na mwanasanaa bora
- Johann Gutenberg, anabuni uchapishaji kwa herufi za kuhamishwahamishwa
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 15 kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |