Kiiwaidja
Kiiwaidja ni lugha ya Kiyiwaidjan nchini Australia inayozungumzwa na Waiwaidja katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiiwaidja 140.
Viungo vya nje
- lugha ya Kiiwaidja kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiiwaidja Ilihifadhiwa 12 Agosti 2020 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiiwaidja katika Glottolog
- lugha ya Kiiwaidja katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiiwaidja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |