Kulungu mwekundu wa Atlas ni mnyama mkubwa wa jenasiCervus katika familiaCervidae anayetokea Afrika ya kaskazini magharibi na visiwa vya Korsika na Sardinia. Zamani alifikiriwa kuwa nususpishi ya kulungu mwekundu wa Ulaya (Cervus elaphus barbarus), lakini wanyama wa Afrika wana mnasaba karibu na wale wa Korsika na Sardinia. Uchunguzi wa ADN unapendekeza kwamba wanyama hawa ni spishi tofauti.
Tabia
Kulungu huyu ni mdogo kuliko yule wa Ulaya. Rangi ya mwili ni kahawia na kuna madoa meupe kwenye mbavu na mgongo. Hakuna tawi la pili juu ya pembe zake.
Msambao
Spishi hii ni kulungu wa pekee wa Cervidae ambaye anatokea Afrika, katika misitu ya Aljeria, Maroko na Tunisia. Kuhusu nadharia moja watu wa zamani sana wamewasilisha spishi hii kwenye visiwa vya Korsika na Sardinia. Huko Maroko kulungu walimalizwa kwa uwindaji, lakini wanyama wengine waliwasilishwa kutoka Tunisia wakati wa miaka 1990[1]
Maadui
Maadui wa kulungu mwekundu wa Atlas ni au walikuwa simba wa Barbari, dubu wa Atlas na chui wa Barbari, lakini wanyama hawa wamekwisha sasa au wamekuwa nadra.
Indian Spotted Chevrotain (M. indica) · Yellow-striped Chevrotain (M. kathygre) · Sri Lankan Spotted Chevrotain (M. meminna)
Tragulus
Java Mouse-deer (T. javanicus) · Lesser Mouse-deer (T. kanchil) · Greater Mouse-deer (T. napu) · Philippine Mouse-deer (T. nigricans) · Vietnam Mouse-deer (T. versicolor) · Williamson's Mouse-deer (T. williamsoni)
Kuro (K. ellipsiprymnus) ·Mraye (K. kob) · Lechwe kusi (K. leche) · Lechwe wa Nili (K. megaceros) · Lechwe wa Upemba (K. anselli) ·Sheshe (K. vardonii)
Swala wa Cuvier (G. cuvieri) · Swala-jangwa (G. dorcas) · Swala mhindi (G. bennettii) · Swala-milima (G. gazella) · · Swala mwajemi (G. subgutturosa)Swala wa Neumann (G. erlangeri) · Swala wa Sahara (G. leptoceros) · Swala wa Saudia (G. saudiya) · Swala wa Speke (G. spekei)
Palawan Bearded Pig (S. ahoenobarbus) · Bearded Pig (S. barbatus) · Indo-chinese Warty Pig (S. bucculentus) · Visayan Warty Pig (S. cebifrons) · Celebes Warty Pig (S. celebensis) · Flores Warty Pig (S. heureni) · Oliver's Warty Pig (S. oliveri) · Philippine Warty Pig (S. philippensis) · Nguruwe-mwitu wa Ulaya (S. scrofa) · Timor Warty Pig (S. timoriensis) · Javan Pig (S. verrucosus)