Kyriakos Stamatopoulos
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/92/Kenny_Stamatopoulos_%282015%29.jpg/220px-Kenny_Stamatopoulos_%282015%29.jpg)
Kyriakos Stamatopoulos (alizaliwa Agosti 28, 1979) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu mwenye asili ya Ugiriki na Kanada ambaye alicheza kama kipa. Kwa sasa, ni kocha mkuu wa makipa wa klabu ya AIK Fotboll.[1][2][3]
Marejeo
- ↑ "KLART: AIK:s långavtal med "Stam" - Fotbolldirekt – Experten på svensk fotboll".
- ↑ "AIK-målvakten berättar själv om mutförsöket: "Chockad"". 10 Septemba 2017.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Extraordinary Expats: Kenny Stamatopoulos, AIK Goalkeeper". 28 Januari 2013.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kyriakos Stamatopoulos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
{BD|1981|}