Lusia wa Sirakusa

Mt. Lusia alivyochorwa na Domenico Beccafumi, 1521, (Pinacoteca Nazionale, Siena)

Lusia wa Sirakusa (maarufu kama Mtakatifu Lusia; 283304) alikuwa msichana bikira na tajiri wa Siracusa, Sicilia, Italia visiwani ambaye alitetea imani yake ya Kikristo hadi kuuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano.

Anachorwa akishika mkononi sinia yenye macho yake aliyonyofolewa kabla hajauawa.

Kwa sababu hiyo anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Desemba[1].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.