Marcus Garvey
'
Marcus Garvey | |
---|---|
Marcus Garvey | |
Amezaliwa | 1887 |
Amefariki | 1940 |
Kazi yake | mwanaharakati wa haki za Watu Weusi nchini Marekani |
Marcus Garvey (1887-1940) alikuwa mwanaharakati wa haki za Watu Weusi nchini Marekani[1].
Alikuwa mmoja kati ya watu waliosaidia kuunda umoja wa Waafrika ambao unajulikana kama Pan Africanism[2].
Marejeo
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marcus Garvey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |