Mkoa wa Kivu Kaskazini
Mkoa wa Kivu Kaskazini Nord-Kivu |
|
![]() Nord-Kivu |
|
Majiranukta: 01°41′S 29°14′E / 1.683°S 29.233°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | Goma |
Serikali | |
- Gouverneur | Julien Paluku Kahongya |
Eneo | |
- Jumla | 59,483 km² |
Idadi ya wakazi (2020) | |
- Wakazi kwa ujumla | 8,147,400 |
Tovuti: http://www.provincenordkivu.org/ |
Mkoa wa Kivu ya Kaskazini ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 8,147,400.
Mji mkuu ni Goma.
Jiografia
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/68/Virunga_National_Park_%2831437399312%29.jpg/269px-Virunga_National_Park_%2831437399312%29.jpg)
Kivu Kaskazini, Iliyoko kando ya ikweta, inajumuisha latitudo kutoka 0° 58' kaskazini hadi 2° 03' kusini na longitudo kutoka 27° 14' magharibi hadi 29° 58' mashariki.[1]
Picha za Kivu Kaskazini
-
Mtiririko wa zaha karibu na Goma
-
Masisi
Marejeo
- ↑ "Mkoa wa Kivu Kaskazini" (kwa Kifaransa). Cellule d'Analyses des Indicateurs de Développement (CAID). Iliwekwa mnamo 8 Novemba 2024.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() | |
---|---|
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu | |
+/- |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kivu Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |