Moderaterna

"Nya Moderaterna"

Moderata samlingspartiet (au kwa kifupi "Moderaterna") ni chama cha siasa nchini Uswidi.

Historia

Chama cha Moderaterna kilianzishwa mwaka wa 1904 chini ya jina "Allmänna valmansförbundet".

Waziri wakuu kutoka Moderaterna

Fredrik Reinfeldt 2013.

Asilimia za Moderaterna katika kura ya kitaifa ya Uswidi


Itikadi

Moderaterna husogeza siasa ya uchumi wa soko na ubepari.

Viungo vya Nje