1928
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| ►
◄◄ |
◄ |
1924 |
1925 |
1926 |
1927 |
1928
| 1929
| 1930
| 1931
| 1932
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1928 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 5 Januari - Walter Mondale, Kaimu Rais wa Marekani
- 10 Januari - Philip Levine, mshairi kutoka Marekani
- 16 Januari - William Kennedy, mwandishi kutoka Marekani
- 6 Machi - Gabriel Garcia Marquez, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1982
- 12 Machi - Edward Albee, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, miaka ya 1967, 1976 na 1992
- 6 Aprili - James Dewey Watson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 14 Mei - Che Guevara, mwanamapinduzi kutoka Argentina
- 23 Juni - Michael Shaara, mwandishi kutoka Marekani
- 12 Julai - Elias Corey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1990
- 26 Julai - Stanley Kubrick, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 6 Agosti - Andy Warhol, msanii kutoka Marekani
- 27 Agosti - Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa Kizulu na mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 27 Agosti - Osamu Shimomura, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2008
- 30 Oktoba - Daniel Nathans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978
- 9 Novemba - Anne Sexton, mshairi kutoka Marekani
Waliofariki
- 30 Januari - Johannes Fibiger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1926
- 4 Februari - Hendrik Antoon Lorentz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902
- 2 Aprili - Theodore William Richards, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1914
- 30 Agosti - Wilhelm Wien, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1911
Wikimedia Commons ina media kuhusu: