Mto Dawa unapatikana nchini Ethiopia na unaunda mpaka wake na Kenya na Somalia.
Ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.