O
| Alfabeti ya Kilatini | |||||
|---|---|---|---|---|---|
| Aa | Bb | Cc | Dd | ||
| Ee | Ff | Gg | Hh | Ii | Jj |
| Kk | Ll | Mm | Nn | Oo | Pp |
| Rr | Ss | Tt | Uu | Vv | |
| Ww | Xx | Yy | Zz | ||
| (Kwa matumizi ya Kiswahili) | |||||
| ch | dh | gh | kh | ||
| mb | mv | nd | ng | ng' | nj |
| ny | nz | sh | th | ||
O ni herufi ya 15 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Omikron ya alfabeti ya Kigiriki.
Maana za O
Historia ya O
| Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu O kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |